Mahdi Al-Mashat

IQNA

IQNA – Mwenyekiti wa Baraza la Juu la Kisiasa la Yemen amerejelea mkataba wa ulinzi wa pamoja kati ya Pakistan, Uturuki, na Saudi Arabia, akisema kuwa makubaliano ya namna hiyo hayana athari yoyote kwa hali ya mambo nchini Yemen, kwani mlinganyo wa “mzingiro dhidi ya mzingiro” utaendelea kubaki pale pale hadi malengo yake yatakapofikiwa.
Habari ID: 3482597   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/08